Saturday, February 26, 2011

Friday, February 25, 2011

MAKE SURE YOUR NAME IS WRITTEN IN THE BOOK OF LIFE--TRUST UPON THE BLOOD OF JESUS TO SAVE YOU.
God Loves You!
Wise men still seek Him! (Are you really a Christian?)


WHAT WILL HAPPEN WHEN JESUS COMES?(a video sermon by Pastor Danny Castle)

Jesus Christ

Jesus Christ is the
ONLY way to Heaven!!!

Karama Za Roho Mtakatifu

Biblia imejaa mifano mingi tu ya watu – wanaume kwa wanawake – kupewa uwezo usio wa kawaida – wa kiMungu – na Roho Mtakatifu. Katika Agano Jipya, kuwezeshwa huko kusiko kwa kawaida kunaitwa “karama za Roho.” Ukweli ni kwamba ni zawadi kwa sababu haziwezi kufanyiwa kazi ndipo zipatikane. Ila, tusisahau kwamba Mungu huwainua wale anaoweza kuwaamini. Yesu alisema hivi, “Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo huwa dhalimu katika lililo kubwa pia” (Luka 16:10). Basi, tungetazamia kwamba karama za Roho zitatolewa kwa wale ambao wamethibitisha kuaminika kwao mbele za Mungu. Kujitoa kabisa na kukubali kuongozwa na Roho Mtakatifu pia ni muhimu, maana Mungu atawatumia watu aina hiyo kwa njia isiyo ya kawaida. Kwa upande mwingine, Mungu aliwahi kumtumia punda kutabiri. Kwa hiyo, anaweza kumtumia yeyote apendaye. Kama ingebidi kutusubiri mpaka tukamilike ndipo atutumie, asingemtumia yeyote kati yetu!
Katika Agano Jipya, karama za Roho zimeorodheshwa katika 1Wakorintho 12, nazo ni tisa katika ujumla wake, kama ifuatavyo:
Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule. Mwingine imani katika Roho yeye yule, na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja; na mwingine, matendo ya miujiza. Na mwingine unabii, na mwingine kupambanua roho. Mwingine aina za lugha, na mwingine tafsiri za lugha (1Wakor. 12:8-10).
Kujua jinsi ya kufafanua kila karama moja si kigezo cha kutumiwa na Mungu katika utendaji wake. Manabii wa Agano la Kale na makuhani na wafalme, pamoja na wahudumu katika kanisa la kwanza la Agano Jipya walitenda kazi kwa karama za Roho bila hata ya kujua jinsi ya kuzipanga au kuzifafanua. Lakini, kwa kuwa karama za Roho zimepangwa kwenye orodha kwa ajili yetu katika Agano Jipya, bila shaka Mungu anataka tuzielewe. Paulo aliandika hivi: “Basi ndugu zangu, kwa habari ya karama za Roho, sitaki mkose kufahamu” (1Wakor. 12:1).

Posted by Max Shimba

Thursday, February 24, 2011

“Cleansing” in Zanzibar: 2 Churches Demolished

by sheikyermami on December 1, 2010
“Islamic extremists” suspected on island where fears are growing among Christians.
The latest in a string of violent acts aimed at frightening away Christians in the Muslim-dominated region, the destruction on the island off the coast of East Africa has raised fears that Muslim extremists could go to any length to limit the spread of Christianity, church leaders said.
File photo (looks like Zanzibar has quite a history of burning churches. The slaves adopt the slavers religion/ed)
“One Muslim was heard saying, ‘We have cleansed our area by destroying the two churches, and now we are on our mission to kill individual members of these two churches – we shall not allow the church to be built again,’” said one church member who requested anonymity.  (Christian Today)

Feeling Stagnant? Are You Running the Race?

Jack Graham
 
In [Hebrews 12:1–2], the author of Hebrews compares living the spiritual live to running a race. Now imagine running a race with barbells on your shoulders or wearing scuba diving equipment. While that sounds ridiculous, it’s essentially what many Christians try to do when they hold onto sin in their lives!

Now the Scripture tells us in Romans 14:23 that “whatever does not proceed from faith is sin.” That means that when you’re not accomplishing what God wants you to do by faith, you are living in sin!

So often, people come up and tell me, “Pastor, I just feel stagnant in my walk with Christ and I don’t know why.” But do you know what their problem usually is? They aren’t living by faith. Sure, they’re moral people and live good lives, but they’ve never really stepped out and completely trusted God. Their “walk” is just that, a walk and not a race!

Now in your race, you may be avoiding the sins of commission like drunkenness and lust. But are you unknowingly committing sins of omission like not serving others or failing to step out in faith?

My prayer is that you learn to trust in God with everything: your relationships, your finances, and even your own life. When you begin to do that, your spiritual race will be taken to whole new levels, and you will finish well!

Taken from “Laying Aside Sin and Running the Race” by Power Point Ministries (used by permission).

Amini katika Bwana Yesu Kristo nawe utaokolewa

Amini katika Bwana Yesu Kristo nawe utaokolewa. Imeandikwa katika Warumi 10:9 "Kwa sababu ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka."

Mungu anasema tuko sawa tukimwamini Yesu. Imo katika Biblia; Mwanzo 15:6 "Ibrahimu akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hilo kuwa haki." Unalo fanya halipaswi kuwa tofauti na lile unaloliamini. Imeandikwa katika Torati 27:10 "Basi isikize sauti ya Bwana, Mungu wako, ufanye maagizo yake na amri zake nikuagizavyo leo."

Kuamini kwa kweli ni kuwa na uhusiano na Mungu. Imeandikwa katika Yohana 14:15. "Mkinipenda mtazishika amri zangu."

Niimani gani ambayo Mungu hukataa? Imeandikwa katika Yakobo 2:19 "Wewe waamini ya kuwa Mungu ni mmoja watenda vema. Mashetani nao waamini na kutetemeka!"

By Max Shimba

Je, wewe ni mtoto wa Mungu?

Ninani mwana wa Mungu? kuzaliwa kwa kiroho hufanya mtu kuwa mwana wa Mungu.

Imeandikwa Yohana 1:12-13 "bali waliompokea aliwapa uwezo wakufanyika watoto wa Mungu ndio wale waliaminio jina lake walio zaliwa si-kwa damu wala si kwa mapenzi ya mwili wala sikwa mapenzi ya mtu bali kwa Mungu."

Mungu amefungua njia yakuwa watoto wake. Imeandikwa 1Yahana 3:1 "Tazameni ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu na ndivyo tulivyo kwa sababu hii ulimwengu haututambui kwa kuwa aukutambua yeye."

Wakristo wamefanywa kuwa jamaa ya Mungu imeandikwa Warumi 8:16 "Roho mwenywe hushuudia pamoja na roho zetu ya kuwa sisi tu watoto wa Mungu."

Tazama watoto washanga. imeandikwa Luka 18:16-17 "Bali Yesu akawaita waje kwake, akasema waasheni watoto wadogo waje kwangu wala msiwazuie kwa kuwa watu kama hao ufalme wa Mungu ni wao amininawaambia, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hauingii kamwe."

Je, wewe ni mtoto wa Mungu?

Posted by Max Shimba

Kueneza injili ya YESU KRISTO

Wakristo wanawezaje kujihusisha na uenezaji wa injili? Nilazima wenyewe wa ieneze injili hiyo Imeandikwa Mathayo "Ndipo alipowaambia wanafunzi wake mavuno ni mengi; lakini watendakazi ni wachache, basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake."

Kueneza injili ni kazi ya wakristo kote ulimwenguni. Imeandikwa Mathayo 28:19-20 "basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu na kuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru ninyi na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari."

Kueneza injili ya Yesu Kristo kuwe ni hali yetu ya maisha imeandikwa Wakolosai 1:26-29 "Siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake ambajinsio Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika mataifa nao ni kristo ndani yenu tumaini la utukufu amabaye sisi tunamhubiri habari zake tukimwonya kila mtu na kumfundisha kila mtu katika kila hekima yote tupate kumleta kila mtu mtimilifu katika kristo Nami na jitaabisha kwa neno lilo hilo nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu."

Habari njema nilazima ihubiriwe kote kabla ya kurudi kwa Yesu. Imeandikwa Mathayo 24:14 "Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."

Siolazima uwena elimu ya juu kuweza kuhubiri injili imeandikwa 1 Wakorintho 2:1-5 "Basi ndugu zangu mimi nilipokuja kwenu sikuja niwahubiri siri ya Mungu kwa ufasaha wa maneno wala kwa hekima maana naliazimu nisijue neno lo lote kwenu ila Yesu kristo naye amesulibiwa nami nalikuwako kwenu katika hali ya udhaifu na hofu na matetemeko mengi na neno langu na kuhubiri kwangu hakukuwa kwa maneno ya hekima yenye kushawishi akili za watu bali kwa dalili za Roho na za nguvu iliimani yenu isiwekatika hekima ya wanadamu bali katika nguvu za Mungu."

Tumeitwa tuwe mabalozi wa Yesu imeandikwa 2 Wakorintho 5:20 "Basi tuwajumbe kwa ajili ya Kristo kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu."

Kueneza injili nikuzungumza kwaniaba yake Mungu na kuutangaza ukweli wake imeandikwa Marko 16:15 na Yohana 13:35 "Akawaambia enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe... hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mikiwa na upendo ninyi kwa ninyi."

Injili ni zaidi ya kuhubiri na ushuhuda imeandikwa Isaya 60:1 "Ondoka ukaangaze kwakuwa nuru yako imekujia na utukufu wa Bwana umekuzunguka. Imeandikwa Isaya 61:1 " Roho ya Bwana Mungu I juu yangu kwa sababu Bwana amenitia mafuta ni wahubiri wanyenyekevu habari njema amenituma ili kuwanganga waliovunjika moyo kuwatangazia mateka uhuru wao na hao walio fungwa habari ya kufunguliwa kwao."

Tueneze Injili ya Yesu Kristo kwa Mataifa yote.

Posted by Max Shimba

Jesus seen after His deathJesus seen after His death

Wednesday, February 23, 2011

Agano Jipya

Je! Bibilia yamanisha nini inaposema agano jipya baina yetu na Mungu?. Agano jipya ndiyo jibu katika uasi wetu. Imeandikwa Yeremia 31:33 "Basi agano hili ndilonitakalofanya na nyumba ya Israeli, baada ya siku zile asema Bwana nitatia sheria yangu ndani yao na katika ioyo yao nitaiandika; nami nitakuwa Mungu wao nao watakua watu wangu."

Agano jipya laja kwa njia ya Yesu Kristo. Imeandikwa, Luka 22:20 "Kikombo nadho vivyo hivyo baada ya kula akisema; kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu inayomwagika kwa ajili yenu."

Agano jipya yamaanisha twaweza kwende mbele za Mungu bila mpatanishi kupitia kwake Yesu Kristo. Imeandikwa, Waebrania 7:22 "Basi kwa kadiri hii Yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi."

Kuna ondoleo la dhambi katika agano jipya. Imeandikwa, Waebrania 9:14-15 "Basi si zaidi damu ya Yesu Kristo, ambaye kwa roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kua sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai? na kwa sababu hi ni mjumbe wa agano jipya ili mauti ikisha kufanyika kwa kukomboa makosa ya liyokuwa chini ya agano la kwanza hao waliyo itwa waipokee ahadi ya uridhi wa milele."

Katika agano la kale watu wasaki kufanya nini? Imeandikwa Kutoka 24:3 "Musa akaenda akawaambia watu maneno yote ya Bwana na hukumbu zake zote watu wote wakajibu kwa sauti moja wakasema maneno yote aliyoyanena Bwana Mungu tutayatenda."

Mungu ameagiza kufanya nini katika agano jipya?. Imeandikwa, Waebrania 8:10 "Maana hili ndilo agano nitakalo agana na nyumba ya Israeli baada ya siku zile asema Bwana nitawapa sheria zangu katika nia zao na katika mioyo yao nitaziandika nani nitakuwa Mungu kwao."

Posted by Max Shimba

Avion Blackman "Yeshua"

Yesu Kristo

Jina Yesu nitakatifu toka hapo mwanzo naye akawa wanadanu. Imeandikwa Yohana 1:1, 14 "Hapo mwanzo kulikuwapo neno naye Neno alikuwako kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu, Naye neno alifanyia mwili akaa kwetu nasi tukaona utukufu wake utkufu kama wa mwana pekee atokaye kwa Baba amejaa neema na kweli."

Je! kwanini ilimpasa Yesu kuwa mwanadamu? Imeandikwa, Waebrania 2:17 "Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yoteapate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema Mwaminifu katika mambo ya Mungu ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake."

Yesu alionyesha utukufu wake na ubinadamu wake kwa kuyashinda majaribu. Imeandikwa, Waebrania 4:14-15 "Basi iwapo tuna kuhani mkuu aliye ingia katika mbingu, Yesu mwana wa Mungu natuyashike sana maungamo yetu kwa kuwa hana kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yote ya udhaifu bali yeye alijaribiwa sawasawa nasisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi."

Yesu alionyesha utukufu wake kwa kufufuka kwake. Imeandikwa, Mrko 16:6, "Naye akawaambia msistaajabu mnamtafuta Yesu mnazareti aliyemsulubiwa amefufuka hayupo hapa patazameni mahali walipo mweka lakini enendeni zenu kawaambie wanfunzi wake, na perto, yakwamba awatangulia kwenda Galilaya hukomtamwona kama alivyowaambia."

Paulo alionyesha utkufu wa Yesu. Imeandikwa, Wakolosai 2:9 "Maana katika yote unakaa utimilifu wote wa Mungu kwa jinsi ya kimwili."

Uhusiano wa Yesu na Baba yeke niupi? Imeandikwa, Yohana 10:30 "Mimi na Baba tu umoja."
Yesu ndiye tabibu mkuu. Imeandikwa, Luka 8:47-48 "Yule mwanamke alipoona yakwamba hawezi kusitirika akaja akitetemeka akaanguka mbele yake akamweleza mbele za watu wote sababu yake ya kumgusa na jinsi alivyoponywa mara akamwambia binti imani yako imekuponya enenda zako na amani."

Kitambo kidogo kila mtu atakiri kuwa Yesu ni Bwana. Imeandikwa, Wfilipi 2:9-11 "Kwa hio Mungu alimwadhimisha mno akamkirimia jina lile lipitalo kila jina ili kwajina la yesu kila goti lipigwe la vitu vya mbinguni na duniani n akwa chini ya nchi na kila ulimi ukiri yakuwa YESU KRISTO NI BWANA kwa Utukufu wa Mungu Baba."

Yesu anawahiiza watu kutubu dhambi zao. imeandikwa, Mathayo 4:17 "Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia."

Yesu hakuja kuondoa sheria bali kuzikamilisha. Imeandikwa, Mathayo 5:17 "Msidhani yakuwa nilikuja kuitangua tora au manabii la, wala sikuja kutangua bali kutimiliza."

Yesu ndiye njia kwa Mungu. Imeandikwa, Yohana 14:6 "Yesu akamwambia mimi ndimi njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi."

Yesu ndiye ufufuo. Imeandikwa Yohana 11:25 "Yesu akamwambia mimi ndimi huo ufufuo, na uzima yeye aniaminiye mimi ajapokufa atakuwa anaishi."

Kazi ya Yesu ilileta utofauti katika maisha ya watu. Imeandikwa, Mathayo 4:23 "Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote akifundisha katika masinagogi yao na kuihubiri habari njema ya ufalme na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu."

Je? mtu afanye nini ili wawe mfuasi wa Yesu? Imeandikwa, Luka 9:23 "Akawaabia wote mtu ye yote akitaka kunifuata na ajikane mwenyewe ajitwike msalaba wake kila siku."

Maisha yake Yesu yakawa maisha yatu. Imeandikwa Wagalatia 2:20 "Nimesulubiwa pamoja Kristo lakini ni hai bali si mii tena bali Kristo yu hai ndani yangu na uhai nilio nao sasa katika mwili ni nao katika imani ya mwana wa Mungu ambaye alinipenda akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu."

Tujitahidi tuwe kama Yesu. Imeandikwa Wafilipi 2:5 "Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo ndani ya Kristo Yesu."

Twaweza kumjua Yesu kama mwokozi wetu. Imeandikwa Yohana 1:12 na 1Petro 3:18. "Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu ndio walewaliaminilo jina lake." "Kwa maana naye aliteswa mara moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio haki ili atulete kwa Mungu mwili wake akauawa bali roho yake akahuiswa."

Makoma - No Jesus, No Life

He Knows My Name

Tuesday, February 22, 2011

Jesus Christ

Jesus Christ is the
ONLY way to Heaven!!!

God's Love

John 3:16
For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life.