Tuesday, February 12, 2013

Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wajiunga CCM


Picture
Juliana Shonza akijitambulisha kwa wana CCM leo tarehe 12/2/2013, katika Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma
Picture
Mtela Mwampamba akijitambulisha kwa wana CCM, wakati wa sherehe za utambulisho wa wajumbe wa kamati kuu ya CCM.
Picture
Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete akiwa kwenye picha ya pamoja na wanachama wapya wa CCM, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba, kushoto kwenye picha ni Makamu Mwenyekiti CCM-Bara ,Ndugu Philip Mangula na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahaman Kinana.
Picture
Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Rais Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma wakati wa sherehe za kuipongeza Kamati Kuu iliyochaguliwa jana mjini Dodoma.
Picture
Mwenyekiti wa CCM Rais, Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM nje ya ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. (picha zote: Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment