Dhahabu imegunduliwa katika kijiji cha Tumbelo nje kidogo ya mji wa Kondoa, mkoani Dodoma, ambako mgodi huo umeanza kutoa madini kwa wingi na kuwafanya wachimbaji wadogo wadogo kutoka mikoa ya Tanzania kupiga kambi katika eneo hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tumbelo Gold Mine, Bw. Moshi Changai amesema mgodi huo umegunduliwa mwezi uliopita, baada ya mchimbaji mdogo wa kijiji cha Tumbelo, Bw. Hamisi Gori kugundua dhahabu hiyo.
Amesema taarifa ya kuvumbuliwa dhahabu hiyo iliwafikia wachimbaji kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania na nje ya nchi ambako wanaendelea kufurika kuchimba dhahabu hiyo.

Celebrities Who Are Adopted
Celebrities Who Lean To The Right
Pregnant Celebrity Styles
Celebrity Smooches
Famous Books On The Big Screen