Tuesday, April 10, 2012

Picha za Mazishi ya Steven Kanumba


Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na watu wa Msalaba Mwekundu baada ya kuzirai.

Msanii wa filamu, Blandina Chagula akilia kwa huzuni
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa (kulia) naye alikuwepo.…
Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na watu wa Msalaba Mwekundu baada ya kuzirai.
Msanii wa filamu, Blandina Chagula akilia kwa huzuni
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa (kulia) naye alikuwepo.
Mcheza sinema, Wema Sepetu, akisaidiwa na msanii mwenzake, Emannuel Miyamba.
Msanii Irene Uwoya akihudumiwa na wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu.
Msanii Rachel Haule akiwa na majonzi.
Waombolezaji wakisukumana kuingia makaburini.
MSANII maarufu wa filamu nchini, Steven Kanumba, aliyefariki dunia usiku wa Ijumaa Kuu amezikwa na maelfu ya Watanzania katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

                              
5 comments:

 1. mungu ailaze roho ya kaka yetu peponi

  ReplyDelete
 2. UNCLE JJ, PUMZIKA.

  ReplyDelete
 3. Ahаa, іts fastidiouѕ сonversation сoncerning this рost at this place
  at this webpage, I have rеad all that, so now me
  also сommenting at this placе.
  Feel free to surf my weblog :: Organic Coffee Beans and Gourmet Coffee

  ReplyDelete