Saturday, April 21, 2012

Orodha ya majina ya wabunge waliosaini kusudio la Zitto Kabwe


Samahani kwa usumbufu uliojitokeza awali ambao niliutolea ufafanuzi (kama inavyosomeka hapo chini kwenye SAHIHISHO) sasa imepatikana orodha ya wabunge waliotia saini kusudio la Zitto Kabwe la kuwakilisha azimio la Wabunge kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Ikiwa huna mawasiliano ya Mbunge wako, tafadhali bofya hapa kuiona kwa kurejea tangazo la awali lenye faili lililo na majina ya Wabunge, eneo wanaloliwakilisha na namba zao simu kwa mawasiliano.

Orodha ya majina ya wabunge waliosaini kusudio la Zitto Kabwe la kuwasilisha Bungeni azimio la kukosa imani na Waziri Mkuu

"This is the list of Members of Parliament who signed forms for a motion of No confidence on the Prime Minister following the Government inaction on embezzlement of public funds from Parastatals, central government and local government as reported repeatedly by the CAG." - Zitto.
1.     Mhe.Rashid Ali Abdallah – cuf
2.     Mhe. Chiku Aflah Abwao- chadema
3.     Mhe. Saluim Ali Mbarouk – cuf
4.     Mhe. salum Khalfam Barwany – cuf
5.     Mhe. Deo Haule  Filikuchombe- ccm
6.     Mhe.PaulinePhilipo Gekul- chadema
7.     Mhe.Asaa Othman  Hamad-cuf
8.     Mhe.Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
9.     Mhe.Naomi  Mwakyoma Kaihula – chadema
10.  Mhe. Sylvester Kasulumbayi- chadema
11.  Mhe.Raya Ibrahim Khamis  - chadema
12.  Mhe.Mkiwa Hamad Kiwanga  - cuf
13.  Mhe.Susan  Limbweni Kiwanga- chadema
14.  Mhe.Grace Sindato Kiwelu –chadema
15.  Mhe.Kombo Khamis Kombo – cuf
16.  Mhe.Joshua  Samwel  Nassari – chadema
17.  Mhe.Tundu Antiphas Lissu- chadema
18.  MheAphaxar  Kangi Lugola- ccm
19.  Mhesusan Anselim Lymo- chadema
20.  Mhe.Moses Machali – NCCR Mageuzi
21.  Mhe.John Shibuda Magalle – Chadema
22.  Mhe.Faki  Haji  Makame- Cuf
23.  Mhe. Esther Nicholas Matiko- chadema
24.  Mhe.Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
25.  Mhe.Freman  Aikaeli Mbowe- chadema
26.  Mhe.Kurudhum Jumanne Mchuchuli – chadema
27.  Mhe.Halima James Mdee-chadema
28.  JohnJohn Mnyika- Chadema
29.  Mhe.Augustino Lyatonga Mrema- TLP
30.  Mhe. Maryam Salum  Msabaha- chadema
31.  Mhe.Peter Msingwa-chadema
32.  Mhe.Christowaja Gerson Mtinda- chadema
33.  Mhe.Philipa Geofrey Mturano- chadema
34.  Mhe.Christina Lissu Mughwai- chadema
35.  Mhe.Joyce John  Mukya – chadema
36.  Mhe.Mchungaji  Israel  Yohane  Natse – chadema
37.  Mhe.Philemon Ndesamburo- chadema
38.  Mhe.Ahmed  Juma Ngwali- - cuf
39.  Mhe.Vincent  Josephat  Nyerere- chadema
40.  Mhe.Rashid  Ali Omar- cuf
41.  Meshack  Jeremiah Opulukwa- chadema
42.  Mhe.Lucy Philemon Owenya- chadema
43.  Mhe.Rachel Mashishanga- Chadema
44.  Mhe.Mhonga Said Ruhwanya – chadema
45.  Mhe.Conchesta Rwamlaza – Chadema
46.  Mhe.Moza Abedi  Saidy- cuf
47.  Mhe.Joseph  Roman Selasini – Chadema
48.  Mhe.David Ernest  Silinde- chadema
49.  MheRose Kamili Sukum  - chadema
50.  Mhe.Cecilia Daniel Paresso- chadema
51.  Mhe.Kabwe Zuberi Zitto- Kigoma Kaskazini
52.  Mhe.Magdalena Sakaya – Cuf
53.  MheRebecca Mngodo- Cuf
54.  Mhe.Sabreena Sungura -chadema
55.  Mhe.Hamad Rashid Mohammed- CUF
56.  Mhe.Rukia Kassim Ahmed (Cuf)
57.  Mhe.Mustapha Boay Akoonay (Chadema)
58.  Mhe.Abdalla Haji Ali (CUF)
59.  Mhe.Khatibu Said Ali (CUF)
60.  Mhe.Hamad Ali Hamad (CUF)
61.  Mhe.Riziki Omar Juma (CUF)
62.  Mhe  Haji Khatibu Kai (CUF)
63.  Mhe.Anna Marystella John Malack -Chadema
64.  Mhe.Hamad Rashid Mohamed  (CUF)
65.  Mhe.Rajab Mbarouk Mohamed (CUF)
66.  Mhe.Thuwayba Idrissa Muhamed (CUF)
67.  Mhe.Masoud Abdallah Salum (CUF)
68.  Mhe.Muhamad Ibrahim Sanya (CUF)
69.  Mhe.Ali Khamis Seif (CUF)
70.  Mhe.Haroub Muhammed Shamis (CUF)
71.  Mhe.Amina Amour Nassoro (CUF) 
No comments:

Post a Comment