Thursday, April 7, 2011

Mbunge wa Uzini akimbizwa hospitali
Mbunge wa Uzini, Muhammed Seif Khatib, akiwa amebebwa kwenye machela akiingizwa kwenye gari la kubeba wagonjwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana asubuhi. (Picha: Khalfan Said)

No comments:

Post a Comment